Top Stories

Mama mtaalam wa vidonda vya tumbo, amtaja Millard Ayo, ajivunia wageni (+video)

on

Shemsa Yahya ni mama wa miaka 52, pamoja na shughuli zake zingine kazi nyingine anayoifanya ni kutoa huduma ya dawa ya vidonda vya tumbo ya asili na anasema tayari amesaidia Watu zaidi ya mia moja akiwemo Millard Ayo.

“Nimerithi kutoka kwa Mama na baadhi nimekuwa nikiziota nachanganya zaidi ya miti minne, sipendi kujitangaza na nyumbani kwangu hukuti bango nina miaka saba nasaidia Watu” Shemsa

“Napokea wageni kutoka Oman, Uganda na wengine akipona anamwambia mwenzie hata Millard Ayo alikuja” Shemsa

LIVE MAGAZETI: Serikali yamliza MO, Lissu: Lowassa ni shida, Magufuli acharuka

Soma na hizi

Tupia Comments