Top Stories

Maagizo ya Waziri Mkuu kwa Watendaji “sio siri Rais anarudi mwakani” (+video)

on

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amefungua Maonyesho ya Wiki ya Uwekezaji Mkoa Kagera yalioandaliwa na Mkuu wa Mkoa Gaguti kwa ajili ya kuonyesha fursa kwa Wawekezaji mbalimbali Tanzania.

Katika ufunguzi huo ameeleza hali ya uwekezaji ilivyo Kagera huku akiwataka Watendaji kufanya Kazi kwa bidii na kusema kuwa sio siri tena Rais anarudi mwakani.

DEREVA WA LORI AMUOGOPA MAGUFULI TAZAMA ALIVYOJITETEA “NILIKUWA NAPITA TU”

Soma na hizi

Tupia Comments