Top Stories

BREAKING NEWS: Wema Sepetu afikishwa Mahakamani Kisutu

on

Leo November 1, 2018 Msanii wa filamu nchini, Wema Sepetu amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu akisubiri kusomewa mashtaka yanayomkabili. Bonyeza PLAY hapa chini kutazama Wema akiingia Mahakamani

Waziri Lugola anusurika ajali, afunguka “mnataka awaue nanyi mmekaa kimya”

 

Soma na hizi

Tupia Comments