Mix

Kutoka kwa Paul Makonda usiku huu na mistari aliyonukuu (+VIDEO)

on

Jina la Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda sasa hivi linatajwa sana kwenye headlines za sakata la dawa za kulevya na tayari akiwa amefanya awamu ya pili ya kutaja orodha ya Watu 65 wanaotuhumiwa kwenye sakata hilo.

Pamoja na hayo kuendelea Paul Makonda amepost video kwenye Instagram page yake akisoma mistari ya Biblia >>> “Usiogope Mbwa Mwitu, unapoanza kuchipuka katika wazo lako…. na ndio maana kuna wimbo wa mwimbaji anaitwa Ephraim kutoka Zambia naupenda sana

Wimbo unasema wewe ni Mungu usielala…………. Mungu wetu hajalala, mantiki ya Mungu kutokulala hachoki na kuna mahala nimekupa katika hii mistari anasema utataka jambo nawe litakua, imani utakayokua nayo itakusukuma kutaka jambo litakua

Mbwa Mwitu ni wale watu ambao wanabweka tu… unaanza jambo wanakubwekea kiasi kwamba wanakufanya mpaka unakata tamaa”

Unaweza kumtazama kwenye hii video fupi hapa chini

A video posted by Paul Makonda (@paulmakonda) on


FULL VIDEO: Kabla na baada ya Wema Sepetu kuachiwa kwa dhamana Mahakamani tazama kwenye hii video hapa chini

VIDEO: Awamu ya pili ya Paul Makonda na kawataja wengine, ajibu ya Wema Sepetu na Masogange

Ili usipitwe na Breaking NEWS zote za Tanzania na nje ya Tanzania, matukio ya habari za mastaa, michezo na mengine, usiache kujiunga na Millard Ayo kwa ku-subscribe Youtube jina la “millardayo” pia Install APP ya “millardayo” kwenye Android na IOS, Facebook, Twitter na Instagram @millardayo

Soma na hizi

Tupia Comments