Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: PICHA 12: Jengo la mwaka 1895 ambalo limebadilishwa matumizi Tanzania
Share
Notification Show More
Latest News
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo March 27, 2023
March 27, 2023
Picha: Kutoka kwenye Usiku wa Malkia wa nguvu Mlimani City Hall DSM
March 26, 2023
Hhayuma afunguka uwepo wa Baraza la ardhi Hanang, ‘Nilitaka kushika Shilingi ya Waziri Bungeni’
March 26, 2023
Picha: Mfugaji akamilisha Mjengo wake, aishukuru Kampuni ya Asas kwa kufanikisha ndoto zake
March 26, 2023
Waziri Jafo acharuka, atoa maagizo Mbweni “Wachimba Mchanga, kamata gari, hatua zichukuliwe”
March 26, 2023
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > Mix > PICHA 12: Jengo la mwaka 1895 ambalo limebadilishwa matumizi Tanzania
MixNyumba/ Mijumba

PICHA 12: Jengo la mwaka 1895 ambalo limebadilishwa matumizi Tanzania

March 20, 2017
Share
1 Min Read
SHARE

Kubadilisha matumizi ya vitu siyo jambo la ajabu hasa kulingana na hitaji la wakati na mahali na maendeleo ya Sayansi na Teknolojia, biashara na utalii ambapo dunia imeshuhudia matumizi ya vitu vingi yakibalika.

Leo nimekutana na stori hii ya mjengo mmoja uliopo katika mji mkongwe wa Mikindani, Mkoani Mtwara, Tanzania ambao umebadilishwa  matumizi yake mara kadhaa tangu kujengwa 1895 kutoka Ngome ya Ujerumani hadi Hotel ya Kitalii.

Nimekuwekea picha za muonekano wa nje na ndani wa hoteli hiyo, nakukaribisha uzitazame hapa chini ambapo mbali na kubadilisha matumizi na kuwa Hotel ya Kitalii, vyumba vyake vimepewa majina ya viongozi na watu maarufu akiwepo Mwalimu Nyerere, Dr. Livingstone na Chief Mkwawa, unaambiwa  vitanda vya asili ndio vinavyotumika kwenye vyumba hivyo.

FULL VIDEO: Ulikosa kuyaona maamuzi ya Waziri Nape baada ya taarifa ya kuvamiwa Clouds TV? Bonyeza play kutazama hapa chini.

BAKING NEWSRE zote na stori za mastaa utazipata kwa Reporter wako MillardAyo, hakikisha umejiunga na mimi kwenye Facebook, Twitter, Instagram, Snapchat, Youtube, APP kwenye ANDROID na IOS kote huko kwa jina hilohilo la @millardayo

You Might Also Like

USAID Breakthrough ACTION Launches SPARK Program

Wataalam wa maji watoa wito wa kukabiliana na uhaba wa maji

Kamati ya Bunge ya Miundombinu imeridhishwa na ujenzi wa BRT

Waziri Mkuu awataka vijana na Wanawake kuchangamkia program ya IMBEJU

AudioMPYA: Joshua Ngelendo anakualika kusikiliza “Jemedari”

TAGGED: majumba, Mijengo
Millard Ayo March 20, 2017
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article VIDEO: Dakika 5 za RC Makonda leo mbele ya Rais Magufuli
Next Article HEKA HEKA: Aliyedaiwa kujiita mchungaji ambaka mtoto wa miaka mitano Dodoma
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo March 27, 2023
Magazeti March 27, 2023
Picha: Kutoka kwenye Usiku wa Malkia wa nguvu Mlimani City Hall DSM
Top Stories March 26, 2023
Hhayuma afunguka uwepo wa Baraza la ardhi Hanang, ‘Nilitaka kushika Shilingi ya Waziri Bungeni’
Top Stories March 26, 2023
Picha: Mfugaji akamilisha Mjengo wake, aishukuru Kampuni ya Asas kwa kufanikisha ndoto zake
Top Stories March 26, 2023

You Might also Like

Top Stories

Picha: Kutoka kwenye Usiku wa Malkia wa nguvu Mlimani City Hall DSM

March 26, 2023
Top Stories

Hhayuma afunguka uwepo wa Baraza la ardhi Hanang, ‘Nilitaka kushika Shilingi ya Waziri Bungeni’

March 26, 2023
Top Stories

Waziri Jafo acharuka, atoa maagizo Mbweni “Wachimba Mchanga, kamata gari, hatua zichukuliwe”

March 26, 2023
Top Stories

Kanisa Katoliki Jimbo Kuu la Mwanza limefanya misa Takaridu ya Kumuombea Hayati JPM

March 26, 2023
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?