Mix

PICHA 15: RC Makonda kakamata zaidi ya tani 1300 za sukari Dar

on

Headline za sukari zimeendelea  katika vyombo mbalimbali vya habari , Leo May 11 2016 Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda ameendelea na zoezi la kuchunguza watu wanaodaiwa kuficha bidhaa hiyo ambapo  ametembelea maeneo mawili tofauti na kubaini uwepo wa sukari inayosadikiwa kufichwa kwenye makontena.

Makonda amekuta makontena yenye sukari 115 ikisadikiwa kuwa ni mali ya Mohamed Interprises ambapo amaegiza vyombo vya usalama kuchunguza kwanini sukari hiyo haiko kwenye mzunguko wa biashara, pia kataka kujua ubora wa sukari hiyo kutokana na taarifa za awali kuonyesha  imetengenezwa Brazil huku packaging ikifanyika Dubai.

Katika eneo lingine RC Makonda amekuta sukari zaidi ya tani 1300 ikidaiwa kuwa ni ya viwandani, Mkuu huyo wa mkoa ametoa saa 24 kupatiwa nyaraka zote pamoja na kuitaka Mamlaka ya Chakula na dawa (TFDA) kuhakiki ubora wa sukari hiyo.

Hapa ninazo picha 15 kukuonyesha namna ilivyokuwa katika msako huo…

IMG-20160511-WA0074

Haya nimakontena ambayo baadhi yalikutwa na sukari

IMG-20160511-WA0075

IMG-20160511-WA0076

IMG-20160511-WA0077

IMG-20160511-WA0083

IMG-20160511-WA0084

moja ya kontena lililokutwa na sukari

IMG-20160511-WA0085

Paul Makonda Mkuu wa mkoa Dar es salaam

IMG-20160511-WA0086

RC Makonda akizungumza na wananchi wake

IMG-20160511-WA0090

IMG-20160511-WA0095

RC Makonda akizungumza na Waandishi wa habari

IMG-20160511-WA0099

IMG-20160511-WA0100

IMG-20160511-WA0101

IMG-20160511-WA0105

kontena likifunguliwa ili kufanyiwa ukaguzi

ULIIKOSA HII DAR ES SALAAM NA WATUMISHI WAKE?

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE

Soma na hizi

Tupia Comments