AyoTV

FULL VIDEO: Mwenyekiti alivyochukuliwa na Polisi mbele ya Wananchi kwa agizo la Makonda

on

Imetokea kwenye ziara ya mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda  inayoendelea kwenye jiji la Dar es salaam ambapo November 23 alipita kwenye wilaya ya Ilala ambapo gumzo limemuangukia Mwenyekiti wa mtaa wa Gongo la Mboto na akachukuliwa na Polisi, tazama kila kitu kwenye hii video hapa chini

VIDEO:Nina Watumishi kama 120 ofisini kwangu lakini ninaojivunia nao ni wanne, wenye akili ndogo ndio wamelalamikia hiyo kauli’ – Paul Makonda…… mtazame hapa chini akifafanua

Soma na hizi

Tupia Comments