AyoTV

VIDEO: ‘Kuna kina Samatta wengine 22 Tanzania’ – Dr. Mwakyembe

on

Waziri wa habari, Utamaduni Sanaa na Michezo Dr. Harryson Mwakyembe ameweka baraka zake kwenye kampuni ya ku-bet ya SPORTPESA ambayo imetangaza kuingia rasmi Tanzania May 9 2017 ambapo wakati akiikaribisha akazungumzia na ishu ya kina Mbwana Samatta, hii video hapa chini ina kila kitu

EXCLUSIVE VIDEO: Flora Mbasha kaolewa tena, tazama harusi yake ilivyofungwa kwa kubonyeza play hapa chini

EXCLUSIVE VIDEO: Mume mpya wa Flora afunguka baada ya ndoa, tazama kwenye hii video hapa chini

Soma na hizi

Tupia Comments