Leo December 18, 2018 Viongozi na Wanachama waandamizi wa Vyama sita vya Siasa nchini wamekutana Zanzibar na kukujadili juu ya dira ya Taifa na hali ya Demokrasia.
Aliesoma taarifa hiyo kwa niaba ya Viongozi wengine ni Katibu Mkuu wa CUF Maalim Seif Hamad ambapo aliongelea waliyokubaliana.