Habari za Mastaa

Martin Kadinda ana haya mengine, ile gari ya Wema Sepetu? Ndoa yake?.. #OnAiRwithMillardAYO

on

Hii ni sehemu nyingine ya exclusive interview #OnAIRWithMillardAyo hapa na Martin Kadinda… Maswali mengine aliyoulizwa Martin Kadinda yamejibiwa.

Story za zawadi ya gari kwenye birthday, kufeli na maisha je? Dakika 11 zina majibu yake kwenye hii video na swali la ndoa yake lipo pia !!

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO’ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa>>>INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE.

Soma na hizi

Tupia Comments