Habari za Mastaa

Mkali Chid Benz katuletea video mpya ‘Walete’ (video+)

on

NI Mkali kutokea kwenye Hip Hop Rashid Makwiro a.k.a Chid Benz ambapo time hii ametuletea video mpya ya wimbo wake uitwao Walete.

Unaweza ukabonyeza play hapa kuitazama kisha usisahau kuandika neno lolote ili mkali huyo akipita asome mlichomuandikia.

Soma na hizi

Tupia Comments