Habari za Mastaa

Mkali The Weekend kauanza mwaka 2022 kwa kuachia album hii mpya

on

Ni Headlines za staa kutokea nchini Canada maarufu kama ‘the weekend’  ambae time hii ameingia katika vichwa vya habari baada ya kuachia rasmi album yake mpya.

Album hiyo yenye nyimbo zaidi ya 11 akiwa amewashirikisha mastaa mbalimbali akiwemo  Lil Wayne, Tyler, the Creator pamoja na gwiji wa muziki wa Pop Funk Quincy Jones, kutoka marekani.

Miongoni mwa vitu vilivyokuwa suprise kwa wengi ni baada ya mchekeshaji Jim Carrey kushiriki katika album hiyo.

Unaweza ukabonyeza play kusikiliza album hiyo mpya iitwayo  Dawn FM

 

Soma na hizi

Tupia Comments