Mkali Wizkid katuletea hii video mpya ‘True love’ akiwa na Tay Iwar

Ni Mkali kutokea Nigeria, Wizkid ambae time hii ametuletea video mpya ya wimbo wake uitwao True Love aliyomshirikisha Tay Iwar itazamae.