Mix

VIDEO: Majibu ya RC Makonda kuhusu tuhuma za kuhusishwa na Agnes Masogange

on

Leo February 8 2017 Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda amezungumza na waandishi wa habari akitangaza majina ya watu ambao watalisaidia jeshi la polisi kupata taarifa zaidi kuhusu biashara ya dawa za kulevya.

Moja ya maswali yaliyoulizwa ni kuhusu tuhuma zinazosambazwa mtandaoni zikidai kuwa Paul makonda amekuwa na uhusiano na Agness Masongange hivyo kupelekea kutomtaja kuwa miongoni mwa watuhumiwa.

Amejibu ‘Haya mengine yanaoendelea kama mtu ana ushahidi anatupa taarifa tumekamata  watu zaidi 120 kupitia taarifa tulizozipata sasa wewe umeshindwaje kumtaja naye akafuatwa’ 

VIDEO: MAAMUZI YA MAHAKAMA KUHUSU KINA T.I.D, TUNDA NA WENGINE, BONYEZA PLAY HAPA CHINI 

Soma na hizi

Tupia Comments