Premier Bet
TMDA Ad

Top Stories

Mkasa wa Mke aliechomwa na mkaa magunia mawili, DC adhuru eneo la tukio (+video)

on

Ikiwa ni siku chache baada ya kutokea kwa tukio la mauaji ya mwanadada Naomi Marijani alilofanyiwa na Mumewe kwa kuchomwa moto kisha majivu yake kufukiwa, Mkuu wa Wilaya ya Kigamboni, Sarah Msafiri amefika eneo la tukio na kuzungumza na wananchi wa Geza Ulole kata ya Gizani.

LIPA ASILIMIA ULIZONAZO, MIMI NAKUKOPA ASILIMIA 50 MTOTO AENDE ASOME” MOLLEL

Soma na hizi

Tupia Comments