Ni Octoba 12, 2022 ambapo ilisambaa sauti mitandaoni inayodaiwa ni ya mke wa Katibu wa Masanja ambayo ikiashiria ikishtumu Masanja na Mkewe Monica.
Sasa leo kupitia ukurasa rasmi wa Mke wa Katibu wa Masanja aitwae Naomi afunguka kuhusiana na shtuma hizo zinazoendelea, bonyeza play kufahamu zaidi.