Top Stories

Mkemi wa Yanga ashikiliwa na TAKUKURU

on

Aliyekuwa Mjumbe wa Kamati ya Utendaji ya Young Africans Salum Abdallah Mkemi ameingia matataji baada ya kushikiliwa na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa Nchini (TAKUKURU) Wilaya ya Rufiji kwa Tuhuma za Rushwa.

Mkemi anahusishwa na utoaji wa Rushwa kuhusiana na Uchaguzi Mkuu ujao wa Rais, Wabunge na Madiwani. Inadaiwa anajiandaa kugombea jimbo la Rufiji.

TAZAMA JINSI MAGUFULI ALIVYOCHANGISHA PESA KUMSAIDIA MAMA MLEMAVU “USIMTAFUTE CHACHA TAFUTA MPYA”

Soma na hizi

Tupia Comments