Top Stories

Waziri Kigwangalla azungumzia kifaa kinachotambua kila anapokwenda Tembo (+video)

on

Waziri wa Maliasili na Utalii Dr. Hamis Kigwangalla amezindua kifaa maalumu katika Mkoa wa Simiyu kitakachokuwa kinatambua mizunguko ya tembo awapo kwenye hifadhi kwa lengo la kupamabana na ujangili wa wanyama hao.

WAZIRI MKUU ALIVYOPOKEA WACHINA ZAIDI YA 300, WAZIRI KIGWANGALA ATUMA UJUMBE

Soma na hizi

Tupia Comments