Top Stories

MAAJABU TANGA: “Mto unavukwa na Wachawi tu, waliolazimisha waliteketea” (+video)

on

Mkuu wa Wilaya ya Korogwe Kisa Kasongwa ameiagiza Halmashauri ya Korogwe Kijijini kupawekea utaratibu mzuri eneo la Maurui tarafa ya Mombo ili iwe ni chanzo cha mapato.

Eneo hilo ambalo alipita Chief Mbega baada ya kufukuzwa na Wakwavi katika Vita ya Wanguu na Wakwavi hivyo Wakwavi wakashinda na kuanza kuwafukuza Wanguu hususani Chief Mbega walitaka kumuua kutokana na kuwatesa kwa muda mrefu.

DC Kisa anasema katika eneo hilo watu wengi wanashindwa kupavuka “Hili eneo ni dogo sana lakini hapa havuki Mtu, wenyewe Wanakorogwe wanakuambia kuna Wamasai wanne walijaribu kuvuka lakini waliteketea wote”

MKUU WA WILAYA MWENYE MIAKA 26 AMEKUJA NA HII KWA WATU WA KOROGWE

Soma na hizi

Tupia Comments