Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: KESI YA HANSPOPE: Kwanini Mahakama imempa dhamana…?
Share
Notification Show More
Latest News
Alhamisi ya TBT: Video 10 za kitambo kutokea Marekani hautozijutia kuzitazama
February 2, 2023
Habari kubwa Magazetini Kenya leo February 2, 2023
February 2, 2023
Utaipenda: Muonekano mpya wa Ilala, namna Bilioni 120 ilivyoibadilisha
February 2, 2023
Watu 60809 wapata Elimu ya Sheria Morogoro
February 2, 2023
Video: Mama amwaga machozi mbele ya Mwenyekiti wa umoja wa UVCCM, Rais Samia amtumia ujumbe huu
February 2, 2023
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > Top Stories > KESI YA HANSPOPE: Kwanini Mahakama imempa dhamana…?
Top Stories

KESI YA HANSPOPE: Kwanini Mahakama imempa dhamana…?

October 16, 2018
Share
2 Min Read
SHARE

Leo October 16, 2018 Mwenyekiti wa Kamati ya Usajili ya Klabu ya Simba, Zacharia Hanspope, amesomewa mashtaka mawili katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu na kuachiwa kwa dhamana.

Hanspope ameunganishwa katika kesi ya utakatishaji fedha inayomkabili Rais wa klabu ya Simba, Evans Aveva na Makamu wake, Godfrey Nyange.

Baada ya kuunganishwa katika kesi hiyo yeye na wenzake wamesomewa mashtaka 10 mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu, Thomas Simba na Wakili wa Serikali, Shadrack Kimaro.

Katika mashtaka hayo 10, Hanspope anakabiliwa na mashtaka 2, ikiwemo kuwasilisha nyaraka anakabiliwa na kughushi.

Katika mashtaka hayo 10, yamo ya kula njama, kutoa nyaraka za uongo, matumizi mabaya ya madaraka, kughushi, utakatishaji, kuwasilisha nyaraka za kughushi na kuendesha biashara bila kufuata sheria.

Katika shtaka la utakatishaji fedha linalomkabili Aveva, anadaiwa March 15, 2016 katika benki ya Baclays Mikocheni, Dar es Salaam alijipatia Dola za Kimarekani 187,817, takriban Sh. Milioni 400 kutoka wakati akijua zimetokana na zao la kosa la kughushi.

Katika shitaka la kughushi linawakabili washtakiwa wote, ambapo wanadaiwa katika tarehe hizo hizo kwa pamoja walighushi hati ya malipo ya kibiashara ya Mei 28, 2016 wakionyesha kwamba nyasi bandia zilizonunuliwa na Simba zinathamani ya dola 40,577, zaidi ya Sh. Milioni 90 huku wakijua kwamba sio kweli.

Pia katika shtaka jingine inadaiqa Aveva, Nyange na Hans Poppe kati ya March10 na September 30, 2016 waliwasilisha nyaraka za uongo kuonyesha Simba imenunua nyasi bandia zenye thamani ya Dola za Kimarekani 40,577.

Hata hivyo, shtaka la mwisho halikusomwa kwa sababu linamuhusu mshtakiwa 4 ambaye bado hajafikishwa mahakamani.

Baada ya kueleza hayo, Mahakama ilitoa masharti ya dhamana kwa Hanspope ya kuwa na wadhamini 2, watakaosaini Bondi ya Shilingi Milioni 15 kwa kila mmoja, ambapo walitimiza masharti hayo na kesi imeahirishwa hadi October 19,2018.

Wakili afafanua HANSPOPE alivyorudi nchini usiku ‘Aliniandikia barua’

You Might Also Like

Alhamisi ya TBT: Video 10 za kitambo kutokea Marekani hautozijutia kuzitazama

Utaipenda: Muonekano mpya wa Ilala, namna Bilioni 120 ilivyoibadilisha

Watu 60809 wapata Elimu ya Sheria Morogoro

Video: Mama amwaga machozi mbele ya Mwenyekiti wa umoja wa UVCCM, Rais Samia amtumia ujumbe huu

liganga na Mchuchuma ngoma nzito, Waziri akubali hoja za Askofu Gwajima

TAGGED: TZA HABARI
Pascal Mwakyoma TZA October 16, 2018
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article Milioni 4 zilivyotumika kuirudisha gari ya Nyerere barabarani kwa Injini ilieile
Next Article Manara baada ya kuachiwa na Polisi “Tumuombee MO DEWJI, tuwaachie Polisi”
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

Alhamisi ya TBT: Video 10 za kitambo kutokea Marekani hautozijutia kuzitazama
Top Stories February 2, 2023
Habari kubwa Magazetini Kenya leo February 2, 2023
Magazeti February 2, 2023
Utaipenda: Muonekano mpya wa Ilala, namna Bilioni 120 ilivyoibadilisha
Top Stories February 2, 2023
Watu 60809 wapata Elimu ya Sheria Morogoro
Top Stories February 2, 2023

You Might also Like

Top Stories

Alhamisi ya TBT: Video 10 za kitambo kutokea Marekani hautozijutia kuzitazama

February 2, 2023
Top Stories

Utaipenda: Muonekano mpya wa Ilala, namna Bilioni 120 ilivyoibadilisha

February 2, 2023
Top Stories

Video: Mama amwaga machozi mbele ya Mwenyekiti wa umoja wa UVCCM, Rais Samia amtumia ujumbe huu

February 2, 2023
Top Stories

liganga na Mchuchuma ngoma nzito, Waziri akubali hoja za Askofu Gwajima

February 2, 2023
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?