Video Mpya

VideoMPYA: Vanessa Mdee yupo na Rayvanny wanakuambia ‘Bado’

on

Staa wa Bongofleva Madame Vanessa Mdee ametusogezea brand new video ya wimbo wake wa ‘Bado’ ambao amemshirikisha Staa mwenzie wa Bongo Rayvanny, Producer ni S2kizzy, bonyeza PLAY hapa chini kutazama.

MPIGA PICHA WA ALIKIBA ALIYEJIONGEZA KULETA PIPI NA PILIPILI ZENYE BRAND YAKE SOKONI

 

Soma na hizi

Tupia Comments