AyoTV

Agizo la kwanza alilolitoa Paul Makonda kama mkuu wa mkoa Dar (+Video)

on

Jana March 15 2015 Rais John Pombe  Magufuli aliwaapisha wakuu wapya wa mikoa 26 ya Tanzania bara na kuwaagiza kutekeleza wajibu wao bila kuwa na hofu yoyote kutoka kwa watu ikiwa ni pamoja na kuwashughulikia watendaji wote watakaoonekana kuwa wazembe kwenye sekta zao, leo Marh 16 2016 ndio mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda amekabidhiwa rasmi ofisi ili kuuongoza mkoa wake.

Licha ya hayo yote Makonda alipata time ya kufahamiana na baadhi ya watendaji katika ofisi yake, na hapohapo akatoa agizo la kuwataka wakuu wote wa idara kumfikishia ripoti zao ikiwa ni pamoja na changamoto zinazowakabili ndani ya saa 24.

Kama ulimiss utani wa mchekeshaji MC Pilipili kuhusu Warembo wa Tanzania

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika AYO tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenyeTwitter,FB,Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTERFBYOUTUBE

Soma na hizi

Tupia Comments