Premier Bet SwahiliFlix Ad Halotel Ad

Top Stories

Magufuli akiri kufuraishwa na Makonda kwa hili, ampaka Bilioni moja (+video)

on

Rais Magufuli amekubali ombi la Mkuu wa Mkoa wa DSM Makonda la kupatiwa shilingi Bilioni 1.5 kwa ajili ya kujenga Hospitali ya Wilaya ya Ubungo Jijini DSM na amemuagiza Waziri wa Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI)  Selemani Jafo kutafuta fedha hizo ili ujenzi uanze.

“Hatuwezi kuwaacha wananchi wa Ubungo wateseke, wakitaka kutibiwa mpaka waende Wilaya za jirani, hapana, tutajenga Hospitali ya Wilaya ya Ubungo, Ubungo hoyeee” Rais Magufuli.

RAIS JPM AMPIGA MASWALI RUBANI LIVE, AJIBU SIKUA PEKE YANGU

Soma na hizi

Tupia Comments