Vituko/ Comedy

Kutana na acapella ya Ommy Dimpoz aliyopiga kama Mkongoman.

on

Screen Shot 2014-04-16 at 10.32.51 AMKatika kitu ambacho wengi hawafahamu kuhusu mkali huyu anaetoka kwenye mkoa karibu na Congo Ommy Dimpoz, ni ucheshi alionao, ni muongeaji sana ambae mara nyingi ukikaa nae lazima akuchekeshe sana na kuna namna ambavyo anaweza kuibadilisha sauti yake na kuongea kama mtoto aliebanwa na meza, yani ni noma.

April 15 2014 usiku ametoa kali pale ambapo ametoa akapela ya Kikongo kupitia video aliyoipost instagram ambayo iliwagusa wengine kama Ben Pol mpaka wakacomment.

Screen Shot 2014-04-16 at 10.39.44 AMVideo yenyewe ya Ommy akiimba ndio hii hapa chini

Tupia Comments