Habari za Mastaa

Mkongwe Elton John ashindwa kuendelea na Show baada ya kupoteza sauti

on

Weekend hii haijaisha vizuri kwa Mwanamuziki nguli na mkongwe Dunian, Elton John ambaye alishindwa kuendelea na show yake nchini New Zealand kutokana na changamoto zakiafya zinazomkabili msanii huyo ambaye anadaiwa kusumbuliwa na tatizo la Mapafu ( Pneumonia).

Elton John alijikuta akimwaga machozi kwenye stage baada ya kujikuta akipoteza ya kuimbia ndipo ikabidi awaeleze mashabiki wake kuwa hataweza kuendelea na show.

Nimepoteza sauti yangu kabisa, siwezi kuimba, itabidi niondoke, Samahani” – Elton John

Play hapa chini Kufahamu POVU la Master J kwa Shabiki aliyehoji kuhusu Ndoa

Soma na hizi

Tupia Comments