Mtayarishaji wa muziki Mkongwe Kwenye Bongofleva Master J ameonesha kufurahia uhusiano wa kimapenzi na mchumba wake wa Muda mrefu ambaye pia ni mwanamuziki wa Bongofleva Shaa.
Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Master J amepost picha akiwa na mpenzi wake huyo na kuandika ujumbe mfupi unaosemaka..>>”Ananifanya nitabasamu kila nikiwa naye”
https://instagram.com/p/B-C_F02lBCF/
USIPITWE NA HII YA SHETTA AHUZUNISHWA NA WATU WALIOMCHEKA GARI LAKE KUKAMATWA NA TRA