AyoTV

VIDEO: Ishu ya wakuu wa mikoa na wilaya kuombaomba pesa kwa wakurugenzi imefikishwa bungeni

on

Bado tunaendelea kuzisogelea headlines za bungeni Dodoma, na leo June 7 2016 mkutano wa tatu kikao cha thelathini na nane kimeendelea na kazi kubwa ikiwa ni maswali na majibu kutoka kwa wabunge na jukumu la kuyajibu likibebwa na Mawaziri.

Moja ya ajenda iliyochukua muda kujadiliwa ilikuwa ni ishu ya baadhi ya wakuu wa mikoa na wilaya kukosa fedha za matumizi na kubaki ombaomba kwa kuomba mafuta Wakurugenzi. Full stori nimekusogezea kwenye hii video..

ULIIKOSA HII? ZAIDI YA MILIONI 40 ZINAPOTEA KWA SIKU KUTOKANA NA WATUMISHI HEWA BUNGENI

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FBInstagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa  INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE

Soma na hizi

Tupia Comments