Top Stories

FULL VIDEO: Makontena ya Makonda yalivyopigwa mnada

on

Baada ya mjadala wa ‘Makontena ya Makonda’ kwenye Bandari ya Dar es salaam, leo Septemba 1 2018 makontena hayo yamepigwa mnada, hii video hapa chini imenasa tukio zima la mnada huo leo

VIDEO: KAULI YA MKUU WA MKOA PAUL MAKONDA SEPT. 1 2018, BONYEZA PLAY HAPA CHINI KUMTAZAMA

Soma na hizi

Tupia Comments