AyoTV

VIDEO: Kampeni inayoendelea Zanzibar, vijana kunufaika nayo

on

Wananchi wamejitokeza katika ujenzi wa madarasa matatu katika Shule ya Kijitoupele ikiwa ni sehemu ya ujenzi wa madarasa 52 kwenye kampeni ya kuhakikisha elimu, usafi wa maji na kuwawezesha vijana Visiwani Zanzibar.

Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Ayoub Mohammed Mahmoud ameongoza Kampeni hiyo iliyopewa jina la “Mimi na Wewe” yenye lengo la kuboresha elimu, usafi wa mji na kuwawezesha vijana Visiwani Zanzibar, akiwahamasisha wananchi kujitolea katika ujenzi wa madarasa matatu na maabara katika shule ya Kijitoupele ikiwa ni mwanzo wa kuanza ujenzi wa madarasa 52 yaliyopo katika mikakati ya kampeni hiyo ambayo yatakamilika mwisho wa mwaka huu.

ULIPITWA? Mtanzania aliyewahi kuweka rehani gari lake kumsadia kijana ada ya Shule…tazama kwenye hii video hapa chini!!!

Soma na hizi

Tupia Comments