Top Stories

DC Jokate awageukia Mama Ntilie “biashara zao zisibaki hapo hapo” (+video)

on

Leo August 19, 2019 Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe Jokate Mwegelo amepata msaada wa vifaa vya kisasa vya kupikia kwa ajili ya wakina Mama ntilie wa Wilayani kwake ambao ana mpango wa kuwawezesha kielimu ya na pamoja na vifaa ili biashara yao iwe na tija na kuwaongezea kipato chao.

MKURUGENZI ALIYERUDISHWA KAZINI NA JPM AACHIWA HURU NA MAHAKAMA

Soma na hizi

Tupia Comments