Habari za Mastaa

Picha 25 za utengenezaji wa video mpya ya Mkubwa na Wanawe – Nitajuta.

By

on

19mkubwaHii ni video ya pili kutoka kwa kundi la Mkubwa na Wanawe kundi linaloundwa na vijana wengi zaidi lakini kwa wimbo huu wameshiriki wale wale walioimba Yamoto ambao ni Maromboso,Enock,Beka na Aslay.

Video ya wimbo huu imefanywa na kampuni kutoka Kenya ambayo jina la kampuni hii bado halijatajwa audio imefanywa na Shirko kutoka kwenye studio za Mkubwa na Wanawe,wimbo huu unaitwa Nitajuta,endelea kuwa karibu na millardayo.com muda si mrefu utaona vipande vya video hii wakati inatengenezwa.

Hizi ni baadhi ya picha hizo.

28mkubwa

27mkubwa

26mkubwa

25mkubwa

24mkubwa

23mkubwa

22mkubwa

21mkubwa

20mkubwa

18mkubwa

17mkubwa

15mkubwa

14mkubwa

11mkubwa

10mkubwa

9mkubwa

4mkubwa

5mkubwa

6mkubwa

7mkubwa

8mkubwa

3mkubwa

2mkubwa

1mkubwa

Tupia Comments