Michezo

Mkude aibuka aomba msamaha Simba (+video)

on

Kiungo wa Simba SC Jonas Mkude ameomba radhi kwa makosa yake ya utovu wa nidhamu yaliyofanya asimamishwe na club kwa muda usiojulikana>>”Binadamu wote wanakosea mnisamehe Mimi ni Mwana- Simba mwenzenu”.

Soma na hizi

Tupia Comments