Top Stories

Mkulima mwingine aibuka ataka muda wa Rais kuwa madarakani ubadilishwe (+video)

on

Mahakama Kuu ya Tanzania imeahirishwa kesi ya ukomo wa urais hadi Februari 10, 2020 kutokana na kuibuka kwa Mkulima mwingine, Mhina Shengena aliyefungua maombi ya kutaka kuunganishwa katika kesi hiyo.

Kesi hiyo ya Ukomo wa Urais ilifunguliwa na mtu wa kwanza ambaye alijutambulisha kama Mkulima, Patrick Dezydelius Mgoya, ambapo baadaye Chama cha ACT Wazalendo na Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) wakaomba kuunganishwa.

INJINIA ABEBWA NA TAKUKURU MBELE YA DC “AMEPIGA HELA ZA WANANCHI”

Soma na hizi

Tupia Comments