Top Stories

Mkurugenzi amdanganya Naibu Waziri, apewa siku nne “naambiwa mkuda, hatutetei uovu” (+video)

on

Naibu Waziri wa Mawasiliano na Taknolojia ya Habari Mhandisi Kundo Andrea ametoa siku nne kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Sengerema Mkoani Mwanza Magesa Bonface kuwasilisha idadi ya minara iliyojengwa kaika Halmashauri hiyo.

Agizo hilo limetoka baada ya kupokea malalamiko kutoka kwa Mwenyekiti wa Kijiji cha Mlaka Kata ya Buyagu kuwepo kwa mwananchi anayedai kulipwa malipo ya mnara uliojengea kwenye mlima anaodai kuwa ni wake

“Nimuagize Mkurugenzi katika Halmashauri yako hii orodhesha minara yote Jumatano tuwe tumeshapata orodha ya minara yote na lazima tupeane muda la sivyo utatuletea 2050 sisi hatujatumwa na wananchi kuja kutetea uovu wa namna hii” Kundo

 

Soma na hizi

Tupia Comments