Top Stories

Mengi Foundation yaguswa na Watu wenye Walemavu, Watangaza Taarifa Mpya.

on

Mkurugenzi mtendaji wa Taasisi ya Dr Reginald Mengi Ms Shimimana Ntuyabaliwe ambaye ni dada wa Jacqueline Mengi amezungumza kuhusu maendeleo ya foundation hiyo ikiwemo mipango ya kuiendeleza kipindi hiki ambacho muanzilishi akiwa hayupo.

Shimimana ameielezea AyoTV na millardayo.com kuwa foundation ya Dr Mengi imekuja na Kampeni mpya ya UBUNTU ambaye ikiwa imebeba maana ya neno UTU na ikiwa na lengo la kuenzi na kurudisha kwa jamii Kama ambavyo Marehemu Dkt Mengi alikuwa akifanya.

Bonyeza PlAY hapa chini kupata taarifa kamili

VIDEO: Vijana waliobuni kifaa cha Kuosha mikono bila kufungua Bomba

Soma na hizi

Tupia Comments