Top Stories

Mkurugenzi WHO “dunia inaweza tokomeza Covid 2022”

on

Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Afya Duniani (WHO), Dr. Tedros amesema Dunia inaweza kuitokomeza Covid 19 mwaka huu kama itaungana kwa pamoja.

Dr. Tedros amesema njia pekee ya kuimaliza Covid 19 ni kwa Nchi kupambana kuwachanja Watu wake, kufuatilia mwenendo wa Corona na virusi mbalimbali vinavyoripotiwa ikiwemo Omicron na delta na kuviangamiza.

“Kila Nchi inapaswa kujitahidi kutoa chanjo kwa angalau 70% ya Watu wake hadi kufikia katikati ya mwaka huu, Mataifa Tajiri yawasaidie chanjo za kutosha Mataifa masikini, tukifanya hivyo Covid 19 tunaimaliza mwaka huu”.

Soma na hizi

Tupia Comments