Mix

Mkuu wa Mkoa Kusini Pemba akabidhiwa Mwenge

on

Mkuu wa Mkoa wa Kusini Pemba Mattar Zahoro Masoud amekabidhiwa Mwenge wa Uhuru kutoka kwa Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Idrisa Kitwanaa.

Hata hivyo baada ya hapo RC Mattar aliukabidhi Mwenge kwa Mkuu wa wilaya kutoka mkoani mwake Issa Juma Ali.

Soma na hizi

Tupia Comments