Premier Bet
TMDA Ad

Michezo

Matokeo ya mechi ya Yanga Vs Coastal Union pale Mkwakwani TANGA…

on

SAMSUNG

Ligi Kuu Tanzania Bara imeendelea leo, Timu ya Yanga SC ilikuwa kwenye dimba la Mkwakwani Tanga ambapo wanajangwani hao walikuwa wakichuana na wenyeji wa Tanga, Coastal Union mechi ambayo imeisha muda mfupi uliopita.

Katika mechi hiyo dakika 90 zilikamilika pamoja na zile  tatu za nyongeza kwa Yanga kushinda goli 1-0 dhidi ya Coastal Union.

 “Kuna timu ambazo zinaandaliwa matokeo.. kuna maamuzi ambayo yanafanyika sio ya kimchezo kabisa.. Mimi sijawahi kuzungumzia kuhusu suala la maamuzi lakini leo nazungumzia. Kuna timu zimetengenezwa ili zipate matokeo…”– Hamis Mbwana.

Tunashukuru Mungu tumeweza kupata point tatu na tumeweza kuongoza ligi leo ila mechi ilikuwa ngumu, hatukucheza mpira ambao tunaucheza kila siku ila tu tumekuja hapa kwa ajili ya pointi tatu, bora tucheze vibaya lakiniu tupate ushindi …”– Nadir Haroub.

IMG-20150204-WA0036

IMG-20150204-WA0038

IMG-20150204-WA0043

IMG-20150204-WA0044

IMG-20150204-WA0045

SAMSUNG

SAMSUNG

SAMSUNG

IMG-20150204-WA0066

.

Nadir Haroub, Nahodha wa timu ya Yanga.

IMG-20150204-WA0080

Nahodha wa Coastal Union, Hamis Mbwana

Hapa ni sehemu ya mahojiano ya Nahodha wa timu ya Yanga na Coastal Union kupitia AZAM TWO baada ya mechi hiyo kuisha.

 Hautopitwa na stori yoyote inayonifikia mtu wangu, niko tayari kukutumia wakati wowote kupitia twitter instagram na facebook ukijiunga na mimi kwa kubonyeza >>>twitter Insta Facebook

Tupia Comments