Michezo

Nimekusogezea hii kutoka Mkwakwani Tanga… YANGA VS MGAMBO JKT

on

20150321_180407Uwanja wa Mkwakwani Tanga leo palikuwa hapatoshi, Timu ya Yanga walikuwa wakipambana na Mgambo JKT ambao walikutana na timu ya Simba na kuwafunga 2-0, leo ilikuwa zamu ya Yanga na Mgambo.

Dakika 45 za kwanza ziliisha kwa 0-0 lakini waliporudi kumalizia 45 za kipindi cha pili hali ilikuwa tofauti, Yanga waliwazidi nguvu Mgambo na kumaliza dakika 90 za mchezo kwa goli 2-0 ambapo Yanga walitoka kifua mbele kuthibitisha kwamba bado wanahitaji kukaa kwenye kilele cha ligi Kuu Tanzania bara.

Hapa nna pichaz hali ilivyokuwa uwanjani baada ya mechi hiyo kumalizika.

20150321_180221

20150321_180309

20150321_180355

20150321_180407 Story hii pamoja na PICHAZ nimekusogezea toka AZAM TWO.

Nitaendelea kukupatia kila stori inayonifikia mtu wangu, niko tayari kukutumia wakati wowote kupitia twitter instagram na facebook ukijiunga na mimi kwa kubonyeza>>> twitter Insta Facebook

Tupia Comments