Michezo

Majibu ya Mkwasa kuhusu kumuita Kazimoto Taifa Stars, wakati ana kesi …

on

Kocha wa Taifa Stars Boniface Mkwasa March 8 katangaza kuita kikosi cha timu ya Taifa ya Tanzania kitakachojiandaa na mchezo dhidi ya Chad ila kamjumuisha na Mwinyi Kazimoto ambaye waandishi walihoji kwa nini kaitwa wakati ana kesi ya kutuhumiwa kumpiga  mtu.

“Nafikiri kunataratibu, kwanza kwangu mimi hayo ni maisha yake binafsi na huwezi kumuingilia, kwangu mimi mchezaji anatumika pale anapokuwa amefuata taratibu za soka, sasa mchezaji akitoka akampiga mtu konzi mtaani, halafu unaleta kwenye mpira huku, havihusiani” >>> Boniface Mkwasa

Unaweza msikiliza Mkwasa hapa

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika AYO tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na MillardAyo kwenye Twitter, FBInstagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>>INSTAGRAMTWITTERFB YOUTUBE

Soma na hizi

Tupia Comments