Habari za Mastaa

Mkwere amwaga Machozi Makaburini, ataja kauli ya mzee Matata ‘Aliniambia Hatoboi’

on

Msanii wa vichekesho Jumanne Alela maarufu kama Mzee Matata aliyefariki jana amezikwa leo kwenye makaburi ya Buguruni Malapa jijini Dar es salaam. Matata alikuaa akisumbuliwa na ugonjwa wa kisukari na alipelekwa kwenye Hospitali mbalimbali za Dar es salaam kabla ya kupewa Rufaa na kuhamishiwa Hospitali ya Muhimbili alikofia jana. Ayo TV na Millardayo.com imezungumza na Mkwere ambaye alikuwa mtu wake wa karibu.

UMATI ULIVYOJIOKEZA KUMZIKA MZEE MATATA WA MIZENGWE, SIMANZI YATAWALA

 

Soma na hizi

Tupia Comments