Mix

VIDEO: ‘Tutawapima wachezaji, anayetumia dawa za kulevya tutaondoka naye”-Makonda

on

Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Paul Makonda na Balozi wa China hapa Tanzania leo March 3 2017 wameweka jiwe la msingi kwenye ujenzi wa uwanja wa mpira wa Bandari DSM, uwanja huo utawekwa nyasi bandia.

Uwanja huo ambao umekuwa maarufu kutumika kwa michezo ya Ndondo CUP na unatarajiwa kutumika tena kwenye michezo hiyo na wakati wa michezo hiyo RC Makonda amesema wachezaji wa Ndondo CUP watapimwa kama wanatumia dawa za kulevya na watakaobainika watachukuliwa.

Paul Makonda na wale Wanasheria wa DSM leo Feb 24, Bonyeza play hapa chini kutazama 

Soma na hizi

Tupia Comments