Premier Bet
TMDA Ad

Top Stories

Mkuu wa Operesheni atinga na helicopter “operesheni inaendelea Askari wametanda” (+video)

on

Kamishna wa Operesheni na Mafunzo Liberatus Sabas tayari ametinga kwa Helcopter katika eneo ambalo ajali ilitokea jana baada ya lori lililokuwa na shehena ya mafuta kupinduka na kulipuka Mjini Morogoro “Tumelizunguka eneo la tukio ili kufanya upelelezi ili tuweze kugundua chanzo hasa cha tukio”

WAGONJWA WALIVYOFIKISHWA DSM KWA HELCOPTER KUTOKA MORO

Soma na hizi

Tupia Comments