Mix

Hii sheria ya milegezo vipi ikija Bongo?

on

mlegeUnaambiwa Meya wa Pikevile katika mji wa Tennessee Marekani Phil Cagle amepiga marufuku milegezo yote katika mji wake na endapo ukionekana tu umevaa hivyo unalipa faini hapohapo.

Sasa ishu ni kwamba ukikamatwa tu ukiwa umevaa mlegezo unatozwa dolar 25 hadi 50 ambayo kibongobongo ni zaidi ya 40,000 na 80,000 ingawa sasa haijajulikana vipimo gani atakavyokuwa anatumia kujua kama huu ni mlegezo au sio wenyewe.

Source:Uhuru

Tupia Comments