Top Stories

Mlinzi akutwa na Corona, Rais ajitenga siku 14

on

Rais Julius Maada Bio ametangaza kujitenga kwa muda wa siku 14 kama tahadhari, baada ya mlinzi wake kuthibitishwa kuwa na maambukizi ya Corona Virus.

Akihutubia Taifa hilo, Rais Bio amewahakikishia wananchi kuwa yeye pamoja na familia yake hawana dalili zozote za Virusi vya Corona.

Sierra Leone imerekodi maambukizi 50 ya Corona mpaka sasa na wagonjwa waliopona ni 6 na hakuna kifo.

MAPAMBANO DHIDI YA CORONA: VYOMBO VYA HABARI 10 VYAPEWA SANITIZER

Soma na hizi

Tupia Comments