Top Stories

Serikali ilipe jumla ya Bilioni 1.5, Polisi Mil. 657, Jeshi Mil. 43, Magereza Mil. 631 (+video)

on

Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira inazidai Taasisi za Serikali zaidi ya shilingi Bilioni 1.5 ambazo ni malimbikizo ya madeni kutokana na kutumia huduma ya maji kwa muda mrefu.

Alizitaja baadhi ya Taasisi hizo kuwa ni pamoja na vyombo vya Ulinzi na Usalama, vituo vya Afya, Taasisi za Elimu pamoja na Ofisi ya Mkurugenzi wa Jiji la Mbeya.

Amesema Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) linadaiwa Milioni 43.9, Jeshi la Polisi Milioni milioni 657.9, Jeshi la Magereza shilingi Milioni 631.9 na Chuo cha Magereza shilingi Milioni 225.8.

SHULE ILIYOTUMIA BILIONI 11 IMEKAMILIKA WANANCHI WANATAKA IWE CHUO

Soma na hizi

Tupia Comments