Top Stories

Watu Milioni 821 waathirika na baa la njaa

on

Zaidi ya watu Milioni 821 walikumbwa na baa la njaa duniani kote mwaka jana. Kwa mujibu wa ripoti ya Umoja wa Mataifa iliyotolewa siku ya Jumatatu – hili ni ongezeko kwa mwaka wa tatu mfululizo.

Ukosefu wa lishe kwa bara la Afrika umeendelea kuwa mwiba, ambapo zaidi ya asilimia 20 ya idadi ya watu wameathirika.

Ripoti hiyo inadai kwamba utapiamlo ulianza kuongezeka mwaka 2015, hasa kutokana na mabadiliko ya hali ya hewa na vita.

MAAGIZO YA RAIS MAGUFULI KWA WAGONJWA NJE YA NCHI

Soma na hizi

Tupia Comments