Michezo

Soka Marekani inalipa !! Ninayo list ya mastaa wa Soka wanaowalipa vizuri, Gerrard? Kaka? Lampard je?

on

Tumezoea kusikia mishahara ya wachezaji soka barani Ulaya kuwa mikubwa ila wengi wamekuwa wakijiuliza kwa nini mastaa kadhaa kutoka Ulaya wamekuwa wakikimbilia Ligi Kuu Marekani (MLS)? wengine wanasema wanafuata mishahara wengine wanasema Ligi Kuu Marekani (MLS) ni Ligi ya wastaafu.

September 23 nakuletea list ya mishahara ya mastaa wa soka waliowahi kucheza soka katika Ligi mbalimbali barani Ulaya alafu wakahamia Marekani… huenda ulitamani kujua mshahara wa mchezaji bora wa Dunia aliyebeba Tuzo ya Ballon d’Or wa mwaka 2007, Ricardo Kaka ambaye amewahi kutamba katika vilabu vya AC Milan na Real Madrid.

Nakusogezea list ambayo imeandikwa na mtandao wa metro.co.uk ya wachezaji wanaolipwa fedha nyingi katika Ligi Kuu Marekani.

1-  Ricardo Kaka

Ricardo-Kaka

Ricardo Kaka analipwa mshahara wa dola milioni 6.6 na klabu yake ya Orlando City kwa mwaka.

2- Steven Gerrard 

2475356100000578-2901727-Sportsmail_s_mock_up_of_how_Steven_Gerrard_could_look_in_the_col-a-83_1420717217196

Steven Gerrard anayeitumikia klabu ya LA Galaxy analipwa mshahara wa dola milioni 6.2 kwa mwaka.

3- Frank Lampard

Frank-Lampard-012

Kiungo wa zamani wa klabu ya Chelsea ambaye kwa sasa anaichezea klabu ya New York City FC, Frank Lampard analipwa dola milioni 6 kwa mwaka.

4- Michael Bradley

bradley

Michael Bradley anayecheza klabu ya Toronto FC analipwa sawa na Lampard, dola milioni 6 kwa mwaka.

5- David Villa

_75263492_david_villa_nycfc_signing

David Villa wa klabu ya New York City analipwa dola milioni 5.61

6- Sebastian Giovinco

TURIN, ITALY - DECEMBER 18: Sebastian Giovinco of Juventus looks on during the Tim Cup match between Juventus and US Avellino at Juventus Arena on December 18, 2013 in Turin, Italy. (Photo by Valerio Pennicino/Getty Images)

Sebastian Giovinco analipwa na klabu yake ya Toronto dola milioni 5.6.

7- Jozy Altidore

Jozy Altidore celebrates after scoring a goal for the US against Panama in a World Cup Qualifying match at CenturyLink Field in Seattle, Wash. on Tuesday, June 11, 2013. (Photo by Mike Russell | mikerussellfoto.com)

Jozy Altidore analipwa dola milioni 4.75 kwa mwaka katika klabu ya Toronto FC .

8- Robbie Keane

CARSON, California - September 14, 2012: The LA Galaxy defeated the Colorado Rapids 2-0 during a Major League Soccer (MLS) game at Home Depot Center stadium.

Robbie Keane wa LA Galaxy analipwa dola milioni 4.5 kwa mwaka.

9- Giovani Dos Santos

Giovani-Dos-Santos

Giovani Dos Santos wa LA Galaxy analipwa dola milioni 4 kwa mwaka

10- Clint Dempsey

usmnt-world-cup-away-shirt-clint-dempsey-back

Clint Dempsey kutokea klabu ya Seattle Sounders analipwa dola milioni 3.9.

Hii ni list ya wachezaji wote 18 wanaolipwa fedha nyingi na vilabu vyao katika Ligi Kuu Marekani (MLS)

1

PAPO KWA PAPO zipate habari zote zinazonifikia kuanzia kwenye siasa muziki, michezo, maisha, Breaking news na nyingine kwa kujiunga hapa na mimi >>> Twitter Insta FB na nitakua nikikutumia kila ninachokipata pia usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>YouTUBE

Tupia Comments