May 24 2016 nakukutanisha na Wizara ya Maliasili na Utalii ilivyowasilisha bajeti yake ya makadirio ya mapato na matumizi kwa mwaka wa fedha 2016/2017. Waziri Jumanne Maghembe amesema..>>>’Naomba Bunge likubali kupitisha jumla ya Sh. 135,797,787,000 kwa mwaka wa fedha 2016/2017‘
‘Kati ya fedha hizo Sh. 118,051,105,000 ni kwaajili ya matumizi ya kawaida na Sh. 17,746,682,000 kwa ajili ya Miradi ya Maendeleo. Fedha za matumizi ya kawaida zitajumuisha Sh. 59,592,676,000 za mishahara ya watumishi na Sh. 58,458,429,000 za Matumizi mengineyo‘
ULIIKOSA HII? PROF. TIBAJUKA KITANZINI TENA, WABUNGE WATOFAUTIANA SUALA LA KUPIMWA KILEVI
Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE