AyoTV

Kutana na mchekeshaji anayemuigilizia Rais Magufuli kuongea… yani mulemule ! (+video)

on

Ni mchekeshaji na mwigizaji wa sauti ambaye anaweza kusimama mbele yako na kwa uhakika hautaondoka bila kucheka… kutana na Mlugaluga, Mtanzania aishie Dar es salaam ambaye kazi yake pia ni kuigiza sauti za watu maarufu akiwemo Rais Magufuli, Spika Anna Makinda wa bunge lililopita pamoja na watu wengine, tazama hii video hapa chini

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO’ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye TwitterFBInstagram na YouTUBE wa kubonyezahapa>>>INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE.

Soma na hizi

Tupia Comments